:: Follow Us

Become a Facebook fan View our Youtube page
http://www.nhctz.com/components/com_gk3_photoslide/thumbs_big/543353kibla_residential.jpglink
http://www.nhctz.com/components/com_gk3_photoslide/thumbs_big/579333medeliII.jpglink
http://www.nhctz.com/components/com_gk3_photoslide/thumbs_big/921728UbungoResidentialApart.jpglink

Mindu Place: Sold Out

Mindu Place, Dar es salaam Tanzania. See details

Medeli Residential Apartments: Now Selling!!

Medeli Residential Apartments, Dodoma Tanzania. See details

Ubungo Residential Apartments: Sold Out

Ubungo Residential Apartments, Dar es salaam Tanzania See details

Mindu Place: Sold Out Medeli Residential Apartments: Now Selling!! Ubungo Residential Apartments: Sold Out
Mashine za Hydraform Zapelekwa Mikoa ya NHC PDF Print E-mail

Madereva wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiwa upakizi wa mashine zinazotumia teknolojia rahisi ya kufyatulia matofali ya Hydraform tayari kuzisafirisha kwenda mikoa ya Lindi na Mtwara. Shirika limenunua mashine 15 ambazo zimeshasafirishwa kwenda katika mikoa ya Dodoma, Morogoro, Mwanza, Katavi, Tanga, Manyara na zitatumiwa na Brigade ya vijana wa VETA waliopata mafunzo ya utaalamu kutoka Afrika Kusini kufyatua matofali katika kanda hizo kwaajili ya kujengea nyumba.

 

Picha zaidi Ingia Hapa

 

Eco Residence

welcome to NHC Facebook and Youtube Pages Follow us on Facebook- NHC Youtube Video

© 2015 NHC Tanzania. All Rights Reserved.